Furahia Habari Motomoto
Nyumbani
Biashara
Habari
Kitaifa
Kimataifa
Dini
Mawasiliano
Tafakuri
Matukio mbalimbali katika picha kwenye sherehe za CCM Kisonge-Zanzibar.
In
Kitaifa
,
Siasa
February 6, 2021
55 Views
0 comments
Picha na – OMPR – ZNZ.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla Kulia akisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoa Mjini Mzee Borafia Silima Juma alipowasili Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michenzani kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 44 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Bibi Cathelin Pita Nao akitoa maelezo wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi hapo Kisonge Michenzani.
Msanii Issa Khamis kutokja Kikundi cha Tarab cha Culture akiimba Wimbo Maarufu wa Kuunganisha Vyama vha TANU na ASP Mnamo Mwaka 1977 wa Afro Mama Tunakuaga.
Malkia wa Mipasho Tanzania Qeen Khadija Omar Kopa akiimba wimbo Maarufu wa ukichunguza usichunguzew kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 44 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi. Hapo Mapinduzi Square.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla akikata Keki Maalum kuashiria kunoga kwa Sherehe za Miaka 44 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzui CCM Hapo Mapinduzi Square.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdulla Juma Sasadala {Mabodi} akitoa salamu wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi hapo Kisonge Michenzani.
Msanii Munira wa Kikundi cha Taarab cha Big Star Chama cha Mapindizo Mkoa akiimba wimbo mahsusi usemao CCM Chama cha kujivunia wakatimwa kuadhimisha Miaka ya 44 ya CCM Mapinduzi Square Michenzani.
Picha na – OMPR – ZNZ.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE
Share:
Kitaifa
Siasa
Posts Carousel
Habari kubwa za magazeti ya tarehe 14/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 14, 2024
YANGA BINGWA X30.
Habari
,
Michezo na Burudani
May 14, 2024
Nafasi za ajira Polisi.
Afya
,
Habari
,
Kitaifa
,
Uncategorized
May 11, 2024
Habari kubwa za magazeti ya leo 10/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 10, 2024
WAKAZI WA KILIMANI WAILALAMIKIA TARURA.
Habari
,
KIJAMII
May 9, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya 9/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 9, 2024
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *
Comment *
Cancel reply
Most Read
Commented
RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
Michezo na Burudani
January 14, 2022
RAIS DKT. MWINYI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.
Habari
,
Kitaifa
,
Siasa
March 8, 2022
JEZI MPYA ZA YANGA 2022/2023
Michezo na Burudani
July 28, 2022
TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA "LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI
Biashara
November 23, 2021
Magufuli kuapishwa kesho Dodoma.
Kitaifa
November 4, 2020
Latest Posts
Habari kubwa za magazeti ya tarehe 14/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 14, 2024
YANGA BINGWA X30.
Habari
,
Michezo na Burudani
May 14, 2024
Nafasi za ajira Polisi.
Afya
,
Habari
,
Kitaifa
,
Uncategorized
May 11, 2024
Habari kubwa za magazeti ya leo 10/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 10, 2024
WAKAZI WA KILIMANI WAILALAMIKIA TARURA.
Habari
,
KIJAMII
May 9, 2024
Top Authors
Jfive Team
ADMINISTRATOR
Most Commented
Habari kubwa za magazeti ya tarehe 14/5/2024.
Habari
,
Magazeti
,
Michezo na Burudani
May 14, 2024
"Wakuu wa Mikoa na Wilaya, msiwe na wasiwasi". Asema Rais Magufuli.
Kitaifa
November 9, 2020
Radi yauwa Kigoma.
Kitaifa
November 9, 2020
Stendi ya mabasi Mbezi kuanza Kutumika rasmi Novemba 30 mwaka huu 2020.
Kitaifa
November 9, 2020
Rais Magufuli kulihutubia bunge novemba 11,2020.
Kitaifa
November 11, 2020
Featured Videos
Categories
Afya
Biashara
BREAKING NEWS
Bungeni
Dini
ELIMU
Habari
KIJAMII
Kilimo
Kimataifa
Kitaifa
LIFESTYLE
Magazeti
Makala
Michezo na Burudani
Sanaa na Burudani
Sayansi na Teknolojia
Siasa
Tafakuri
Tangazo
Uchumi
Uncategorized
Translate »
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *